Thursday, October 17, 2013

DAR LIVE ILIVYOZIZIMA KWA BURUDANI ZA EID

Ommy Dimpoz akikamua ndani ya Dar Live

Joh Makini ‘Mwamba wa Kaskazini’ akilishambulia jukwaa la Dar Live.
Wanenguaji wa Twanga wakionesha manjonjo.
Mwamba wa Kigamboni, Bahati Chaz ‘Mr B’ akishusha mistari ya hip hop Dar Live.
Masai wa Kigoma akifanya makamuzi.