Monday, May 2, 2016

Meli kubwa ya Marekani yaelekea Cuba

adonia

Adonia-500x325

Meli ya kifahari ya Marekani imeanza safari yake kuelekea Cuba ikitokea nchini Marekani kwa mara ya kwanza katika kipindi cha zaidi ya miaka hamsini iliyopita.
Meli hiyo iitwayo Adonia, imebeba abiria wapatao mia saba,imeng’oa nanga kutoka katika bandari ya Miami na inatarajiwa kufika tamati ya safari yake Jumatatu ijayo.
Cuba na Marekani zimerejesha uhusiano baina yao wa kidplomasia mwaka wa jana, ingawaje vita baridi iliyokuwa baina ya nchi hizo ilisababisha hali kibiashara kati yao kuwa ya kusua sua na bado hali si shwari mpaka sasa.

PICHA: Kipindi cha JOTO LA ASUBUHI kutoka E-FM kilivyokuwa LIVE nje ya jengo la K-NET HOUSE

1

2

5

13108973_1679533445631209_1359455878_n

13130061_1228251767193618_1383983340_n