MMG20240
Mkurugenzi Mtendaji wa Azam Media Ltd. Bw. Yusuf Bakhresa, akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa makao makuu ya ofisi za Azamtv, yaliyopo barabara ya Nyerere, jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Azam Media Ltd. Rhys Torrington akishuhudia tukio hilo.
MMG20251
DSC_0881
Mkurugenzi Mtendaji wa Azam Media Ltd. Bw. Yusuf Bakhresa akizungumza na waandishi wa habari baada ya uzinduzi wa jengo la makao makuu ya Ofisi za  Azam TV na kusisitiza umuhimu wa kupanua wigo wa upatikanaji wa Chaneli zao 50 na kutoa huduma bora zenye ubora wa hali ya juu katika kuwafikia wateja wote wa ndani na nje ya nchi.
DSC_0835