Sunday, April 13, 2014

TAZAMA PICHA ZA ATHARI YA MAFURIKO JIJINI DAR



 

Kariakoo Jijini Dar hali ya mvua ipo hivi... ni hatari tupu




Sehemu ya maduka yaliyopo eneo la Kituo cha daladala cha ITV yakiwa yamezingirwa na maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam. 


Barabara ya Goba ikiwa imeharibika kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha.


Maji yakitiririka kwa kasi katika Mto Mbezi eneo la Bondeni...


Eneo la Mwenge karibu na kituo cha daladala.....



Moja ya daladala lililokuwa gereji likiwa limezingirwa na maji eneo la Mwenge....


Maduka ya Mwenge yakiwa yamezingrwa na maji.....


Mdada huyu alikuwa akipiga hesabu na kujiuliza jinsi ya kuvuka maji yaliyojaa na kukatiza barabara eneo la ITV.


Mwenge karibu na Zahanati...... hakuna njia ya kuingilia Zahanati


Maduka eneo la Mwenge yamejaa maji....



Mwenge eneo la Nakiete......

Maji yakikatiza barabara eneo la ITV.

No comments:

Post a Comment