Saturday, April 18, 2015

KAMPUNI YA SAMSUNG YAZINDUA SIMU MPYA GALAXY S6

S1John Mngogo Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia akipata maelezo kutoka kwa Hy Zong Sun Seo Mkurugenzi Mtendaji wa Samsung Electronics Tanzania wakati wa uzinduzi wa simu mpya ya Samsung Galaxy S6 iliyozinduliwa jana kwenye hoteli ya Hyyat Kilimanjaro jijini Dar es salaam , Kushoto ni Sylvestre Manyara Nteere , Meneja wa Mauzo na Usambazaji.S2Hy Zong Sun Seo Mkurugenzi Mtendaji wa Samsung Electronics Tanzania akiielezea simu hiyo mpya wa wageni waalikwa mbalimbali waliojitokeza katika uzinduzi huo.S3Sylvestre Manyara Nteere , Meneja wa Mauzo na Usambazaji akifafanua zaidi wakati akitoa maelezo ya simu hiyo ya Samsung Galaxy S6.S4Wageni waalikwa wakiwa katika hafla hiyoS5Wageni waalikwa wakiwa katika hafla hiyoS6Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Samsung Tanzania wakiwa katika hafla hiyoS7Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika hafla hiyos8
Rukia Mtingwa Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mahusiano NBC na Cecilia mwandishi wa habari kutoka Radio Uhuru wakiwa katika hafla hiyo.

No comments:

Post a Comment