![]() |
| Mratibu wa show ya Lady Jay Dee ya Naamka Tena Tour ya mjini Dodoma, Mh. Catherine Magige akizungumza machache na kutambua uwepo wa Naibu Spika wa Bunge na waheshimiwa wabunge wenzake katika viwanja vya Royal Village mjini humo. |
![]() |
| Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akisalimiana na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson kwenye viwanja vya Royal Village ilipofanyika show ya mwanamuziki Lady Jay Dee mwishoni mwa wiki mjini Dodoma. |
![]() |
Malkia wa Bongo Flava, Lady Jay Dee katika ubora wake.![]() ![]() ![]() |
![]() |
Mh. Halima Mdee, Mh. Catherine Magige, Mh. Esther Bulaya pamoja na Hoyce Temu wakiserebuka.![]() ![]() |
![]() |
Mh. Catherine Magige na Mariam Nnauye wakitoka jukwaani kumtunza Malkia wa Bongo Flava nchini, Lady Jay Dee.![]() |











No comments:
Post a Comment